Diamond’s birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Picha haziongopi! Msanii wa Bongo Flava juzi usiku alirusha birthday bash la nguvu! Beauty queen herself Wema Sepetu alimletea Diamond “cake maalum” ambayo ilikua na maandishi “HAPPY BIRTHDAY DAD YAKE, YOU ARE MY EVERYTHING.” Pamoja na Wema, mastaa na warembo wengine kibao walihudhuria kama Ommy Dimpoz (mzee wa Nai Nai! I freakin’ LOVE that song!) , Naj, Shetta, Dallas n.k.
”
Kiukweli ntakua mchoyo wa fadhira endapo sintowashurukuru watu wote waliohudhuria katikaghafla fupi ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa jana 02/10/2012 katika hotel ya DEMAGE kinondoni…de Night was Crazy n Amazin , kiukweli nimefurahi sana kiasi kwamba hata sijui niwalipe kitu gani…” Ameandika Diamond katika website yake, kuonyesha alivyofurahia mambo yalivyoenda. Judging by the pictures, I can see that he had a blast!
No comments:
Post a Comment