Thursday, October 11, 2012

PEPE ASEMA UKWELI UNAUMA KWA YEYOTE ILE ATAKAYEJISIKIA KAGUSWA

The truth hurts' - Pepe defends 'theatrical' comments

pepe ambaye ni mchezaji wa safu ya kati ya ulinzi ya timu ya portugal alitoa kauli hiyo kufuatia mechi ambayo ilichezwa wikendi iliyopitwa alikaririwa akisema wapelegrana(bercelona) walikuwa wanakera kwa tabia yao ya kujifanyisha kuanguka(theotrical) uwanjani pindi tulipokuwa tunakabiliana nao neo camp mechi hiyo ambaye iliisha kwa suluhu ya 2-2."If anybody feels offended it's because the truth hurts,” he told reporters at a press conference. “I just said what truly happened during the game."

Mechi ambayo ni maarufu kama el-classico,ilikuwa na upinzani mkali kama kawaida yake huku lionel mess na christiano ronaldo wakifanikiwa kila mmoja kuipatia timu zao magoli hayo mawili kila mmoja.Mchezaji wa bercelona Andrews Inesta(mchezaji bora wa ulaya) alionyeshwa kukerwa  na kauli ya mpochogo huyo.Kwa sasa pepe atajiandaa na mechi ambayo itapigwa baina ya portugal na Russia ijumaa hii.


Kepler Pepe - Real Madrid

No comments:

Post a Comment