Mchezaji huyo ambaye ni msenegali aliyewahi kutamba miaka ya 2002 katika mataifa huru afrika nchini Mali kwa sasa akiwa na umri wa miaka 32,amemshutumu mchezaji ambaye ni captain wa england na timu yake ya liverpool kuwa alikuwa ni mbinafsi na alikuwa anamuonea wivu kipindi diouf akichezea Anfield.Diouf alikaririwa akitoa kauli hiyo alipokuwa anahojia na gazeti la kifaransa L’Equipe kwamba kipindi niko liverpool gerald alikuwa ananionea wivu na mchezaji ambaye ni mbinafsi,yeye hajali matokeo ya timu anachojali ni uchezaji wake tu uwanjani kama katupia magoli mangapi na n.k.
Friday, October 19, 2012
ALHAJ DIOUF AMSHUTUMU GERALD KUWA NI MCHOYO NA MBINAFSI
DIOUF AMSHUTUMU STEVEN GERALD NI MCHOYO(MBINAFSI)
Mchezaji huyo ambaye ni msenegali aliyewahi kutamba miaka ya 2002 katika mataifa huru afrika nchini Mali kwa sasa akiwa na umri wa miaka 32,amemshutumu mchezaji ambaye ni captain wa england na timu yake ya liverpool kuwa alikuwa ni mbinafsi na alikuwa anamuonea wivu kipindi diouf akichezea Anfield.Diouf alikaririwa akitoa kauli hiyo alipokuwa anahojia na gazeti la kifaransa L’Equipe kwamba kipindi niko liverpool gerald alikuwa ananionea wivu na mchezaji ambaye ni mbinafsi,yeye hajali matokeo ya timu anachojali ni uchezaji wake tu uwanjani kama katupia magoli mangapi na n.k.
Mchezaji huyo ambaye ni msenegali aliyewahi kutamba miaka ya 2002 katika mataifa huru afrika nchini Mali kwa sasa akiwa na umri wa miaka 32,amemshutumu mchezaji ambaye ni captain wa england na timu yake ya liverpool kuwa alikuwa ni mbinafsi na alikuwa anamuonea wivu kipindi diouf akichezea Anfield.Diouf alikaririwa akitoa kauli hiyo alipokuwa anahojia na gazeti la kifaransa L’Equipe kwamba kipindi niko liverpool gerald alikuwa ananionea wivu na mchezaji ambaye ni mbinafsi,yeye hajali matokeo ya timu anachojali ni uchezaji wake tu uwanjani kama katupia magoli mangapi na n.k.
Labels:
SOKA.GOAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment