Monday, October 15, 2012

INIESTA ASEMA ANAMKUBALI RONALDO KATIKA KUMPATA MCHEZAJI BORA

INIESTA AMCHAGUA MCHEZAJI BORA(KAMILI)

Andrews iniesta mbarauregrana na kiungo wa timu ya spain ambaye kwa sasa anashikilia record ya mchezaji bora wa ulaya leo akiwa anahojiwa na Marca en zona,anaamini kwa kuwa kwa sasa mchezaji perfect atapatikana kwa kumchua Ramadel Falcao striker wa Atletico madrid,Christiano Ronaldo wa real madrid na baadhi ya timu ya barca.
Alikaririwa akisema kuwa mchezaji bora atapatikana kwa kuchanganya uwezo wa Falcao hewani,haiba ya Puyol uwanjani,mkuu wa kulia wa Xavi n,kipaji cha Lionel mess na mguu wake wa kushoto,uwezo wa kimbinu wa Sergio Basquites uwanjani bila kusahau jicho la Chrisiano Ronaldo golini."The perfect player? Falcao's ability in the air, [Carles] Puyol's personality, Xavi's right foot, [Lionel] Messi's talent and left foot, [Sergio] Busquets' tactical awareness and Cristiano's eye for goal," Iniesta stated to Marca en zona.
Iniesta aliendelea kumpa sifa kem kem muargentina Lionel mess kuwa hajawahi kumuona mchezaji mwenye vipaji tele na sifa nyingi za kusakata kabumbu duniani ,najisikia furaha sana kucheza timu moja na lionel messi huku tukitwaa vikombe mbalimbali Andrews inesta katika mechi ambayo itachezwa baina ya timu yake ya spain na france

Andres Iniesta, FC Barcelona (Getty)

No comments:

Post a Comment