Friday, October 19, 2012
SIMEONE :FALCAO NI MCHEZAJI BORA STRIKER 9 DUNIANI
Ramadel Falcao mchezaji wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 26, kwa sasa ameonyesha kuwa ni chezaji matata na machachari katia la liga na michuano ya barani amerika kusini ya kufuvu kombe la dunia.Falcao kwa sasa ameshaingiza kimyani goli sita tayari katika mechi za ligi na ushindi wa goli 2,goli zote zikiwa zimefungwa na yeye mechi ambayo nchi yake paraguay ilishinda goli hizo ijumaa iliyopita.
Falcao kwa sasa ni mchezaji bra namba 9 duniani,maneno hayo yalisemwa na kocha meneja mu agentina wa atletico diego simeone,alikaririwa akisea nadhani ataendelea na mlari huu wa kupachika magoli kwa sababu ana usongo wa kuwa mchezaji bora kabisa klabuni kwake na duniani kiujumla,na kwa sasa ni striker bora kabisa duniani "He is definitely the best No.9 in the world."
Falcao ambaye kama mkataba wake haukuongezwa kuna uwezekano mkubwa wa timu kubwa duniani kumchukuwa chezaji huyo kutokana na mawakala wengi kutangaza interest zao,timu kama chelsea,real madrid na timu za italia zimeonyesha dalili hizo
Labels:
SOKA.GOAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment