Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu uliofanyika katika kanisa
la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
zilizofanywa na watu wadaodaiwa kuwa Waislamu, kufuatia habari za mtoto
kukojolea msaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete
ameenda Mbagala na kutembelea makanisa yaliyoharibiwa na kundi la watu
wanaodaiwa kuwa Wailamu, kwenye vurugu zilizosababushwa na habari za
mtoto mmoja huko Mbagala Kizuiani kukojolea Msaafu. Zifuatazo ni picha
za JK kwenye ziara hiyo akijionea uharibiru uliofanyika.
Picha na IKULU.
Mchungaji
Alkwin Mbawi akimuonyesha rais Kikwete gari la kanisa la Pentekoste
lililovunjwa na kuchomwa moto Mbagala kufuatia vurugu hizo
Katibu
wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam M Mkosimonga,
akimuonyesha rais Kikete uharibifu uliofanywakwenye kanisa hilo
Uharibifu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Rais Kikwete akionyeshwa uharibifu katika Kanisa la Anglikana
No comments:
Post a Comment