Manchester city wazee wa etihad wameshtuka suala la mchezaji yahaya toure mua ivory coast huyo kuongeza mkataba wake kuichezea timu hiyo hadi 2015.Suala hiyo limetokana na wawakilisha wa Yahya toure mmoja wapo akiwemo Dimitri Seluk ambaye ni maarufu kwa kuwaunganisha ma superstar wengi na club za ulaya kufosi kuharakikisha mkataba huo kusainia haraka,lakini uchunguzi wa mwanzo unaonyesha kuwa hiyo ni mbinu ambayo inafanywa ili kuwavisha ama kuwa ingiza mjini Man city kwan midfielder huyo kwa sasa ana miaka 29 na itapofika 2015 atafikisha miaka 35 kitu ambacho kitamkosesha soko katika ligi ya england na ulaya kiujumla .Moja ya terms zao za kuongeza mkataba ni kuongezwa kwa mshahara wa wiki wa mchezaji huyo ambaye ni kiungo muhimu kwa sasa wa Mancity kutoka pound £150,000-a-week (€186,000) rising to £220,000-a-week (€272,000) pamoja na bonuses.
Pamoja na kwamba Yahya Toure ni moja ya key players wa Robert Mancini ni bora suala hili tulisubirie hadi msimu ujao maafisa wa Etihad walikaririwa wakisema,mbali na yaya toure wachezaji kama David silva na Vicent copany tayari wameshapewa dili la kuongezewa mikataba yao miaka mitano na sita kila mmoja huku wakiwaacha nyuma wachezaji wenzao toure,Sergio Augulero na Carlos Tevez wao mikataba yao ikiwa bado inajadiliwa.
Chini ya masaa 48 mara Mancity ilipotwaa ubingwa EPL,msimu uliopita Seluk alisikika kwenye redio moja ya kihispain akisema kuwa Toure amefanya mambo makubwa pale etihad anahitaji sasa kuzipata changamoto kubwa ingawa ,atalazimika kuhama kwa thamani ndogo kwenda timu kama chelsea,Beyern Munich na hata Bercelona tungependa wajiunge mpambano huu wa kumnunua Toure "Toure has done all he can do at City and needs new motivations. He would like a new challenge. He would not cost much.
“He could sign for many big clubs, like Chelsea or Bayern Munich. We would like to see Barcelona join the race.”
No comments:
Post a Comment