Wednesday, October 3, 2012

BIBI WA BUSARA MLA NYAMA ZA WATU AFUMWA ZIMBABWE

Bibi kizee akili kula nyama za watu; nyeti za kiume kadhaa zakutwa chini ya kitanda chake

 Wakazi wa Bulawayo nchini Zimbabwe wameshuhudia tukio la kushangaza baada ya bibi kizee mwenye umri wa miaka 83 kukiri kwamba amekua akila nyama za watu. Baada ya uchunguzi kufuatia kauli yake hiyo, sehemu nyeti kadhaa za kiume zilikutwa chini ya kitanda chake zikiwa zimekaushwa.
Inadaiwa kuwa mwanamke huyo, Gogo Anna Nngadimeng Moyo, amesema kuwa ana goblin wawili wanaolala na watoto wake(hivi goblins kwa Kiswahili ni nini?) na kuongeza kwamba viumbe hao walisababisha kifo cha binti zake wawili na waume zao. Moyo pia alikiri kwamba amekua akisababisha asilimia kubwa ya vifo katika familia yake, akidai idadi ya watu aliowaua ni 63.
Bibi Moyo alieleza kwamba ameamua kufunguka sababu amechoka kuishi gizani na anahitaji msaada. Soma habari kamili ya kituko hiki hapa: bulawayo24.com/index-id-news-sc-local-byo-19629-article-woman+(83)+confesses+to+eating+human+flesh,+sexual+organs+found+under+her+bed.html
uchawi ushirikina kula watu Bibi kizee akili kula nyama za watu; nyeti za kiume kadhaa zakutwa chini ya kitanda chake

No comments:

Post a Comment