Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ambaye kwa sasa ni Manchester City football development executive(meneja au mtendaji mkuu wa maendeleo ya man city) huku akiwa ameandika record ya kuchukua vikombe 106 katika timu yake ya taifa France na Asernal(midfielder) alikaririwa akisema kuwa kwa sasa vijana wanachipukia katika kusakata kabumbu nchini uingereza hawana ndoto kabisa ya kuichezea timu yao ya taifa tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma ,hii ni kwa sababu ya vijana wengi kujiondoa timu ya taifa kwa sbabu ya majeruhi au sijui ni kukosa nguvu kwa shirikisho la soka la uingereza FA sielewi au ndo vijana kukosa tu mapenzi na timu yao ya taifa. ""In England, I really don’t understand how
come so many young players from the age of 16 to 21 pull out of the
national team through injury," Vieira told the Daily Mirror.
"I don’t know. I think it’s maybe the lack of FA ‘power’, I would say. I do not understand.
"I don’t know. I think it’s maybe the lack of FA ‘power’, I would say. I do not understand.
Alitoa kauli hiyo akiwa anhojiwa na daily mirror,asema sisi kipindi tulipokuwa tunakuwa nchini ufaransa tulikuwa na ndoto ya kuichezea national team aliongeza kwa kusema sio timu tu ndio ambayo iltutia motisha ya kuchezea timu ya taifa ni ndoto zetu wenyewe zilichangia huku akihadharisha kuwa si kwamba timu yake ya Asernal aliipenda kidogo
No comments:
Post a Comment