PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA VURUGU ZA MBAGALA BAADA YA MTOTO KUKOJELEA QURAN
Askari
wa kuturiza ghasia wakijitahidi kuwakabili waislam wenye hasira kali
walioanzisha furugu maeneo ya Mbagala kufuatia kudhalilishwa kwa dini
yao baada ya mtoto wa kidato cha kwanza kukojolea Quran tukufu wakati
walipokua ktika mabishano na mwenzake. Picha na: issamichuzi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment