Showing posts with label CELEBRITY. Show all posts
Showing posts with label CELEBRITY. Show all posts

Thursday, November 21, 2013

KAMPUNI YA MWANADADA WEMA SEPETU KUTOKA BONGOMOVIE YAINGIA MADOA.!!! GARI LAKE LAGEUKA NYUMBA YA UZINZI..


 KAMPUNI YA MWANADADA WEMA SEPETU KUTOKA BONGOMOVIE YAINGIA MADOA.!!! GARI LAKE LAGEUKA NYUMBA YA UZINZI...!

Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari yake kama gest ya kumalizia haja zake. 



Website hii inakupa mchongo mzima Habari za uhakika zilizotua mezani kwenye meza yetu ya habari zilisema kuwa Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake"


 Kwa kweli Wema Sepetu alikuwa
anampenda sana Chid kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahali "



 Kilisema chanzo hicho ambacho ni ndugu na Wema aidha habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa hizo aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali"



 Unajuwa Wema ana mashabiki sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari basi wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao"



 Alisema dada huyo Aidha baada ya taarifa hizo tulivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi habari hii inaruka hewani:

Friday, December 21, 2012

BREAKING NEWZZZZ!!!!!!! LULU WA KANUMBA AACHIWA,X MASS NA MWAKA MPYA UNAKULA URAIANI



BREAKING NEWZZZZ!!!!!!! LULU WA KANUMBA AACHIWA,X MASS NA MWAKA MPYA UNAKULA URAIANI

Msanii wa filamu nchini elizabeth Michael(lulu) ambaye aalikamatwa kwa kosa la mauaji ya Msanii mwenzake Steven kanumba na kesi yake kuchukua muda mrefu sana hadi juzi ilipo ripotiwa kuwa amesomewa mashitaka ya kuua bila kukusudia,

Tetesi hai kutoka mahakamani zinadai kwamba ameachiwa kwa dhamana kwa sababu anahukumiwa kesi ya maaujai bila kukusudia.
Hukumu inayodaliw akutolewa asubuhi hii Tar 21/12/2012 ni kwamba hakimu ameruhusu Lulu kuachiwa kwa dhamana.
Kama ni kweli kwamba Lulu ameachiwa huru ni dhahili X mass na mwaka mpya Lulu atakula akiwa uraiani
TAARIFA KAMILI ZA UKWELI WA HABARI HII KUKUJIA HIVI PUNDE

Saturday, October 27, 2012

OBAMA AHOFIA MWANAWE MALIA OBAMA KUWA FACEBOOK

OBAMA AHAOFIA MTOTO WAKE MALIA OBAMA KUWEKO FACEBOOK NA KUENDESHA GARI

Katika kile ambacho kinaonyesha ni mbadiliko ya sayansi na tecklojia yakiingiliwa na mambo ya kisiasa na sera za democratic,ijumaa iliyopita President barack obama alionyesha kuwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wa bint yake huyo wa kwa kwanza Malia obama kwa kitendo chake cha kujiunga ama kuwa na account ya facebook aka social network au mtandao wa kijamii na pia kitendo chake cha ku hang out huku akiendesha gari lake barabarani yeye mwenyewe barabarani.

Alikaririwa akisema maneno hayo akihojiwa na television ya MTV na Mr Interviewer Sway Calloway ,kwamba suala hilo la mwanangu kikweli halihusiani na masuala ya kisiasa yaliyoko sasa hivi, lakini nina hofu kidogo suala la mwanangu kuwa fb,kuendesha gari mwenyewe au ku date na wanaume ingawa naweza kusema kwa sasa amekuwa anaweza kufanya maamuzi yake mwenyewe na kumchagua mtu ambaye yeye anaona anamfaa,huku akionyesha tabasamu kimsisitizo kuwa anaweza kuwa na mvulana ambaye atathamini,kumheshimu na kumtambua thamani yake.Aliongeza kwa kusema swala hilo ni sawa kwa sababu kama mtoto wa Rais ana chombo chake cha usiri na ulinzi (Secret Service protection,"Secret Service protection,") ambacho kinashughulikia mambo yake,aliongeza pia na kusema suala la yeye kuendesha tu ambaye inatakiwa kuhofu ni mzazi na kama unavyojua muda si mrefu wataondoka nyumbani kwangu kama familia na kuanzusha familia zao.

Kipindi hiko cha nusu saa katika wwebsite ya MTV kilikuwa moja kati ya interview kumi ambazo alifanya obama ijumaa iliyopita.

"She can make her own decisions obviously later as she gets older, but right now, even just for security reasons, she doesn't have a Facebook page. Dates, that's fine, 'cause she's got Secret Service protection," he added with a smile. Obama said he hoped his girls would date "boys who respect them and value them and understand their worth.""She can make her own decisions obviously later as she gets older, but right now, even just for security reasons, she doesn't have a Facebook page. Dates, that's fine, 'cause she's got Secret Service protection," he added with a smile. Obama said he hoped his girls would date "boys who respect them and value them and understand their worth.""She can make her own decisions obviously later as she gets older, but right now, even just for security reasons, she doesn't have a Facebook page. Dates, that's fine, 'cause she's got Secret Service protection," he added with a smile. Obama said he hoped his girls would date "boys who respect them and value them and understand their worth."
























In this handout form the White House, (L to R) U.S. President Barack Obama, daughter Malia Obama, first lady Michelle Obama and daughter Sasha Obama sit for portrait in the Green Room of the White House September 1, 2009 in Washington, DC. (Photo by Annie Leibovitz/White House via Getty Images)

Monday, October 15, 2012

ETI WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIL WAOMBA MSAMAHA

Aunt Ezekiel & Wema Sepetu wawaomba msamaha Watanzania na Dunia kwa ujumla kwa kitendo chao cha kuvaa mavazi ya kudhalilisha

 Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walipokutana na waandishi wa habari leo
Aunt Ezekiel
Wema
 Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walipokuwa jukwaani katika tamasha la Fiesta mjini Dodoma

Mwigizaji wa filamu za kitanzania maarufu Bongo Movie, Aunt Ezekiel amejitokeza mbele ya jamii na kuomba radhi juu ya kitendo cha kuonyesha nguo za ndani katika tamasha la muziki lililofanyika mjini Dodoma.
Akizungumza na waandihsi wa habari leo asubuhi mjini Dar es Salaam, Aunt Ezekiel ambae alitakiwa kuandamana na msanii mwenzie walioshiriki pamoja katika tamasha hilo la Fiesta Wema Sepetu ambae hakufika kutokana na sababu ambazo hazikuwekwa wazi alisema anaiomba radhi jamii ya watanzania kwani ilikuwa mara yao ya kwanza kushiriki tamasha lile na hakujua urefu wa jukwaa na aina ya mavazi yatakayoweza kuwasitiri maungo yao tofauti na wasanii wa kike wa muziki ambao walionekana kutambua matamasha hayo hivyo kuweza kujisitiri vizuri.
“Unajua ile ni mara yetu ya kwanza wasanii wa Bongo Movie kushirikishwa katika tamasha la Fiesta, hivyo hatukujua kama majukwaa yanayotumiaka ni marefu sana kiasi mtu akiwa chini anaweza kuona nguo yako ya ndani na kukufanya uonekane muhuni wakati sivyo ilivyo,” alisema Aunt Ezekiel kwa huzuni.
Hata hivyo wakati akijibu maswali ya waandishi wa Habari Ezekiel alionekana kubabaika baada ya Kidojembe kumuuliza kuwa anakunywa pombe na  kujikuta anakiri mbele ya wanahabari kuwa alikuwa amekunywa pombe siku ya tukio hivyo kutotambua alichokifanya. Lakini baada ya kuulizwa na Hemed Kivuyo kutoka Radio One, juu ya hali ya ulevi Aunt Ezekiel alipinga kusema alikuwa amelewa.
“Naomba ieleweke, niliulizwa hapa kama nakunywa nikajibu nakunywa, na nilipoulizwa tena kuwa siku ya tukio nilikunywa nikakiri nilikunywa lakini hakuna mahali niliposema nimelewa. Nakiri siku hiyo nilikunywa lakini sikuwa nimelewa,” alisisitiza Aunt.
“Ndugu waandishi wa habari pamoja na yaliyotokea tunachukua fursa hii kuomba msamaha kwa wizara ya habari utamaduni na michezo, shirikisho la filamu Tanzania, Bongo Movie Club na wadau wake, familia zetu na jamii kwa ujumla kutokana na picha zilizopigwa tukiwa katka tamasha la Fiesta mjini Dodoma ambazo zimesambazwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,” aliongeza Aunt Ezekiel kwa niaba ya msanii mwenzie Wema Sepetu.
Hata hivyo mwigizaji huyo maarufu kwa kuvaa viguo vifupi aliweka wazi kuwa hatoacha kuvaa viguo vifupi ingawa hatofanya hivyo katika hadhara bali atakuwa anaonyesha akiwa katika filamu tu.
“Mimi ni mwigizaji, zipo aina ya filamu zinakutaka kuvaa nguo fupi siwezi kuacha lazima nifuate agizo la mwongozaji filamu hii ni kazi yangu. Naomba msamaha katika jamii lakini naomba niweke wazi kuwa sitoacha kuvaa nguo fupi,” Aunty.
Wakati akimalizia mkutano huo katibu wa shirikisho la filamu Tanzania Wilson Mwakume, alisema kuwa Aunt Ezekiel amekwazwa sana na tukio hilo hasa ikizingatiwa mwezi ujao anategemea kufunga ndoa na mchumba wake, hivyo familia ya mchumba wake imejisikia vibaya baada ya kuona picha zile katika vyombo vya habari. Na shirikisho lao lilipokaa katika kikao cha nidhamu waliwaita wasanii hao na kuwataka waiombe radhi jamii na kuahidi kutorudia kitendo hicho cha aibu.

Monday, October 8, 2012

Chris Brown has a serious medical condition that requires marijuana

The drug test, done June 18, wasn’t ordered by his California judge. But random testing is customary in Brown’s former home state of Virginia, where he’s been serving the community labor requirement of his 2009 felony.
“You apparently did have a drug test, and that drug test came out positive for marijuana,” Los Angeles judge Patricia Schnegg said as Brown listened intently. He wore a tie, a white dress shirt, jeans and a black and grey vest.
Schnegg said Brown told Virginia probation officials he had a medical marijuana card and that the weed was consumed legally in California.

LITAMBUE JUMBA LA KUSTAAJABISHA LA KIM KARDASHIAN

Kim Kardashian’s Mansion Interior Design

Share |
Kim Kardashian’s $4.8million five-bedroom mansion is located in Beverly Hills and made in Tuscan-style featuring four bathrooms and spa. The 4,000sq ft house also has a swimming pool, garden with a waterfall, media room, outdoor living room with a fireplace. The house has many floor-length windows but the high walls and security gates will keep Ms. Kardashian’s privacy intact.
Kim Kardashian's Mansion Interior Design
The mansion’s interior design is made in traditional luxurious style. Every room from the entrance hall to outdoor living area are decorated with luxurious curved furniture in mixture with modern steel furniture. Some furniture pieces’ upholstery is in subtle floral prints. The furniture itself is in white and powder tones.
All the rooms are painted in light colors which contrasts with various tints of wood featured in window frames, tables, floors and furniture. The house has many living areas with the furniture arranged neat the fireplace or wide-screen TV. There are also a dining room with arched windows and terrace entrance and a bedroom.
The kitchen also has these huge windows which lets the day light in which reflects from white walls and kitchen equipment which is also mostly in white. The kitchen also has a fireplace which gives it a cozy atmosphere. There is also an outdoor barbecue-equipped area with the fridge, sink and storage.

HOW CELEBRITY CHANGE OVER TIME



























Sunday, October 7, 2012

WAJUE HOTTEST CELEBRITY DUNIANI JE DIAMOND YUPO?

Friday, October 5, 2012

MTAMBUE DESMOND TUTU ALIYEPATA TUZO YA MO. IBRAHIM MWAKA HUU

Biography

Desmond TutuBishop Desmond Tutu was born in 1931 in Klerksdorp, Transvaal. His father was a teacher, and he himself was educated at Johannesburg Bantu High School. After leaving school he trained first as a teacher at Pretoria Bantu Normal College and in 1954 he graduated from the University of South Africa. After three years as a high school teacher he began to study theology, being ordained as a priest in 1960. The years 1962-66 were devoted to further theological study in England leading up to a Master of Theology. From 1967 to 1972 he taught theology in South Africa before returning to England for three years as the assistant director of a theological institute in London. In 1975 he was appointed Dean of St. Mary's Cathedral in Johannesburg, the first black to hold that position. From 1976 to 1978 he was Bishop of Lesotho, and in 1978 became the first black General Secretary of the South African Council of Churches. Tutu is an honorary doctor of a number of leading universities in the USA, Britain and Germany.

Desmond Tutu has formulated his objective as "a democratic and just society without racial divisions", and has set forward the following points as minimum demands:

1. equal civil rights for all
2. the abolition of South Africa's passport laws
3. a common system of education
4. the cessation of forced deportation from South Africa to the so-called "homelands"

The South African Council of Churches is a contact organization for the churches of South Africa and functions as a national committee for the World Council of Churches. The Boer churches have disassociated themselves from the organization as a result of the unambiguous stand it has made against apartheid. Around 80 percent of its members are black, and they now dominate the leading positions.

Selected Bibliography
By Tutu
Crying in the Wilderness. The Struggle for Justice in South Africa. Edited by John Webster. Grand Rapids, Michigan: Eerdmans, 1982. (Sermons, speeches, articles, press statements, 1978-1980.)
Hope and Suffering: Sermons and Speeches. Edited by John Webster. Grand Rapids, Michigan: Eerdmans, 1984. (From the period 1976-1982.)
The Rainbow People of God: The Making of a Peaceful Revolution. Edited by John Allen. New York: Doubleday, 1994. (Speeches, letters and sermons from 1976 to 1994, woven together in narrative by his media secretary.)
 
Other Sources
du Boulay, Shirley. Tutu, Voice of the Voiceless. London: Penguin Books, 1989.
Sparks, Allister. The Mind of South Africa. New York: Knopf, 1990. (Historical interpretation by a distinguished South African journalist.)
From Nobel Lectures, Peace 1981-1990, Editor-in-Charge Tore Frängsmyr, Editor Irwin Abrams, World Scientific Publishing Co., Singapore, 1997
This autobiography/biography was written at the time of the award and first published in the book series Les Prix Nobel. It was later edited and republished in Nobel Lectures. To cite this document, always state the source as shown above.

Thursday, October 4, 2012

DIAMOND AFANYA KUFURU YA BIRTHDAY YAKE


Diamond’s birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha


Picha haziongopi! Msanii wa Bongo Flava juzi usiku alirusha birthday bash la nguvu! Beauty queen herself Wema Sepetu alimletea Diamond “cake maalum” ambayo ilikua na maandishi “HAPPY BIRTHDAY DAD YAKE, YOU ARE MY EVERYTHING.” Pamoja na Wema, mastaa na warembo wengine kibao walihudhuria kama Ommy Dimpoz (mzee wa Nai Nai! I freakin’ LOVE that song!) , Naj, Shetta, Dallas n.k.

Kiukweli ntakua mchoyo wa fadhira endapo sintowashurukuru watu wote waliohudhuria katikaghafla fupi ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa jana 02/10/2012 katika hotel ya DEMAGE kinondoni…de Night was Crazy n Amazin , kiukweli nimefurahi sana kiasi kwamba hata sijui niwalipe kitu gani…” Ameandika Diamond katika website yake, kuonyesha alivyofurahia mambo yalivyoenda. Judging by the pictures, I can see that he had a blast!
wema sepetu diamond platnumz birthday cake Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Wema na Dadi yake wakikata keki
wema akimlisha keki diamond Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Wema akimlisha keki Diamond
wema sepetu diamond Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
naj diamond Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Naj & Diamond… My favorite photo. Imetoka bomba sana
beauties Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Some of the beauties who were at the party… Looking good ladies! This party sure was a place to be!
ommy dimpoz Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Ommy Dimpoz, ndani ya kibanda
wema esma Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Wema na dada yake Diamond, Esma wakilishana keki
shetta Diamonds birthday party photos & video; mastaa, warembo wawakilisha
Shetta naye aliwakilisha

Wednesday, October 3, 2012

NICK MINAJI AMPIGA MKWARA MARIAH CAREY KWENYE AMERICAN IDOL


Nicki Minaj threatens Mariah Carey at ‘American Idol’ audition: ‘I’m gonna knock you out’: report



Carey. (Stephane Drapot/WireImage)
Before Nicki Minaj even signed on to become a new judge on "American Idol," she and Mariah Carey were reportedly at each other's throats. So it's no surprise that now that the two superstars are sitting at the same table together — with fellow judge Keith Urban between them, thankfully — they can really go at it.
During an audition today in Charlotte, North Carolina, the two reportedly disagreed on a contestant's performance, causing Minaj to erupt and completely lose it on Carey. According to TMZ sources, the rapper threatened the mother of twins with, "I'm gonna knock you out!"
In a video posted on the gossip site (Click HERE to see it), pink-wigged Minaj, 27, is seen yelling, "I told them, I'm not f--kin' putting up with her f--kin' highness over there," as Carey, 42, groans repeatedly, "Why? Why? Why?" (at least, that's what it sounds like). Urban attempts to calm down the "Pound the Alarm" singer, but to no avail. Carey also says something else that is inaudible (but it may be about not seeing her children), which prompts Minaj to respond, "Go see them now! Go see them now!"
According to MouthToEars.com, "Idol" producers wisely shut down production for the day to let the two divas cool off.
As omg! has reported, Carey was irate when she first learned that Minaj was going to join her on the 12th season of the singing competition, and she reportedly hung up the phone when producers broke the news to her.
But things weren' always so bad between the two. In 2010, they collaborated on Carey's song "Up Out of My Face," and Minaj had nothing but praise for her now-enemy. "She's an icon, I've loved her since I was little, like 'Vision of Love,' 'Someday,'" Minaj told MTV News at the time. "I was one of those little girls in the mirror singing her songs with my mother … When I met her, she was so funny and silly. I thought when I was gonna work with Mariah, [she] was gonna be like this diva. But we were cracking jokes the whole day. She's a sweet, down-to-earth person." Doesn't seem like she thinks that anymore