KAMPUNI YA MWANADADA WEMA SEPETU KUTOKA BONGOMOVIE YAINGIA MADOA.!!! GARI LAKE LAGEUKA NYUMBA YA UZINZI...!
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari yake kama gest ya kumalizia haja zake.
Website hii inakupa mchongo mzima Habari za uhakika zilizotua mezani kwenye meza yetu ya habari zilisema kuwa Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake"
Kwa kweli Wema Sepetu alikuwa
anampenda sana Chid kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahali "
anampenda sana Chid kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahali "
Kilisema
chanzo hicho ambacho ni ndugu na Wema aidha habari zaidi ziliendelea
kusema baada ya kupata taarifa hizo aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni
yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa
wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali"
Unajuwa
Wema ana mashabiki sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja
hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii ilitokana na upendo
wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari
basi wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo
ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao"
Alisema
dada huyo Aidha baada ya taarifa hizo tulivuta waya kwa kumcheki hewani
Chid na Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea
kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo
hadi habari hii inaruka hewani:
No comments:
Post a Comment