Friday, September 28, 2012

ZITTO KABWE ATANGAZA KUNG'ATUKA

                  ZITTO KABWE ATANGAZA KUNG'ATUKA

katika hali inayoonekana siyo ya kawaida mbunge wa kigoma kwa ticket ya chama cha democrasia na maendeleo atangaza kuachia cheo chake cha ubunge ifikapo 2015,na haya ni maneno au kauli ya mbunge huyo alikaririwa akisema

Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005

No comments:

Post a Comment