Friday, September 28, 2012

HIZI NDIZO BIA MAARUFU DUNIANI

JE UNAZITAMBUA BIA MAARUFI DUNIANI popote utapoenda duniani utasikia wanywaji wa bia wakitaja aidha BUD,COORS au HEINEKEN.Lakini kwa mujibu wa wataalamu wa vinywaji bdand nyingine za bia duniani zimeibuka lakina kukiwa na makampuni yaleyale duniani kama AB InBev owns Budweiser, Corona, and Labatt as well as Michelob, Stella Artois, Becks, Bass, St. Pauli Girl, and 59 other brands. The Molson Coors Brewing Company owns Keystone, Blue Moon, and a host of others, in addition to Molson and Coors. SABMiller owns Miller, Milwaukee's Best, Grolsch, etc Na hizi hapa ni baadhi ya bia hizo 10. Asahi Super Dry 9. Brahma 8. Miller Lite 7. Coors Light 6. Heineken 5. Skol 4. Corona Extra 3. Budweiser










No comments:

Post a Comment