re: PICHA: UMATI wa watu waliohudhuria mkutano wa kutangaza NIA ya Urais wa Zitto Kabwe
Oh BOY HOW CONFIDENT ? Amesha sema hatagombea UBUNGE ? DR. SLAA alifanya hivyo ?Wengine tuko mbali lakini tumeshajua zitto ni mtu wa vipi (haiondoi huodari wake kwenye kazi yake, ukishaielewa), hila ukweli wenyewe tatizo sio yeye, bali uongozi wa juu wa chama chenu.
Au Anataka kugawa Wanachama wa CHADEMA 2015 ILI CCM ISHINDE ?
Itabidi CHADEMA itangaze MGOMBEA URAIS Kama Marekani 1year Prior to the ELECTION...
** Huyu Jamaa Hatari Kweli; Kwenye ile Paper yake ya kutaka Signature za kutokuwa na Imani
Na RAIS; alikwenda kwa wabunge wote wa CCM ambao wanaiuliza Maswali Seriakali yao,
Ili CCM iweze kuwa IMARA.. akahakikisha wote Wa-mesign hiyo Karatasi halafu
Hakuiwakilisha Na Majina akayatoa NJE NJE kuwa ni nani wa CCM alisign hiyo paper
RAIS Karudi; akampa NGUVU rais kuvunja Baraza la Mawaziri halafu kutia DOA
kwa hao wanaCCM ambao ni Wazuri Bungeni kuikosoa serikali yao; Kila NCHI ina
Hao Wanasiasa... ASIYEKUBALI KUKOSOLEWA SIO MWANASIASA...
*** INAONYESHA KAFANYIA KAZI CCM; NA SASA ANATAKA KUIVURUGA CHADEMA.
Mfano 'Winston churchill' is always quoted as the best prime-minister, UK has ever had. But he was only good on his tenure because he fitted the right man to deal with the problems at hand which was war.
Baada ya vita nchi ilivyokuwa juu ya mawe waelevu wakasema he wasn't the right man to build the economy; truth be said hakuwa na ujuzi nor the expertise of the economy know how. Still haikumuondelea sifa zake za uongozi wake it was just a realistic decision.
Point ni kwamba Zitto anapanda kwa sababu viongozi wa chadema hawana tofauti na wa CCM, ukweli ni kwamba si PHD wenu slaa wala mbowe wakulipeleka taifa hili despite their eforts za kuwaamsha watanzania. Hii aina maana michango yao si ya kuheshimiwa kwa juhudi zao za kulipigania taifa na uozo uliopo dhidi ya uongozi dhalimu wa taifa letu.
Ndipo hapo mnaposhindwa especially kwenye kuelewa na kuchagua kiongozi wenye huwezo wa kulipeleka taifa mbele dhidi ya siasa za Dr. Slaa na Mbowe hili CDM isonge mbele; hizo ndio sababu za Zitto kuonekana bora mbele ya viongozi wengi wa Chadema.
Hizo ni fact na sina muda wa kutukanana.
No comments:
Post a Comment