TAMBUA JINSI YA KUCHAGUA JINSIA YA MTOTO UMPENDAE(PROBABILITY OF SEX)
Katika masuala ambayo huwa yanaonekana muhimu katika ndoa nyingi za jamii nyingi duniani ni kupata mtoto au watoto ambao ni chaguo la wapendanao,tumeshudia baadhi ya ndoa zikivunjika kwa mmoja ya mzazi ku cheat na kwenda nje ya ndoa kwa matumaini ya kupata dume au jike (mtoto) ambaye anamkusudia na hata pia kuchangia kwa watoto wa nje ya ndoa na baadae mitaani na kusababisha kuibuka kwa taifa ambalo wananchi wake hawajaelimika na hata muda mwingine kuongezeka kwa maambukizi ya ukimwi.
Hii inasababishwa na watu wengi(wanandoa) kwa kutokufahamu masuala ya elimu ya uzazi(reproductive health) ambayo kiukaribu kabisa .....please nakuomba tu share katika makala zangu hapa ambazo tutauanika ukweli wote hadharani kwa kujitambua kiundani kabisa kma mwanandoa na kukusaidia wewe kufurahia ndoa yako ambayo mmewekeana ahadi ya milele ya kutoachana na mwandani wako na kukufanya ufarahie maisha yako ya ndoa kwa kuweka makubaliano ya watoto muwapendao mkiwa kama wazazi na hata ikibidi wachumba.
kwanza kabisa katika posts zangu ningependa kwa elimu ya utambuzi wa via vya uzazi wa either mwanaume or mwanamke ili iwe rahisi nitakapokuwa nataja viungo vya wazazi mmoja mmoja
No comments:
Post a Comment