davido anunua nyumba mpya
msanii chipukizi ambaye kwa sasa ndo anakimbiza nigeria katika kudhihirisha matunda au mafanikio ya mziki wake hatimaye amenunua nyumba mpya hii hapa ikionekana katika picha
msanii huyo ameiunga kundi la wasanii wenzake kama don jazzy na iyana kumiliki jumba la kifahari katika ardhi ya matajiri lagos nigeria
No comments:
Post a Comment