Saturday, September 29, 2012

HATIMAYE YANGA YAPATA KOCHA MPYA



      Kocha mpya wa Yanga Ernstus Wilhelmus Johannes Brandts akisaini mkataba wa kuifundisha timu hiyo huku akishuhudiwa na makamu mwenyekiti Celemnt Sanga. Ernie anarithi mikoba ya kocha alietimuliwa Tom Saintfiet.
                     

No comments:

Post a Comment