PELE AIPONDA BRAZIL AKIIFANANISHA NA MKUSANYIKO TU WA WACHEZAJI
Veteran pele alikaririwa akisema tumecheza mara kadhaa bado vizuri na vibaya ila bado coach maneze anatakiwa akitengeneze kikosi madhubuti ambacho ndani ya miaka miwili ijayo inabidi kiwe madhubuti katika kutete taji hilo ndani ya ardhi yao 2014.
muda mwingine unaweza kuwa na wachezaji wazuri ila bado hujawa na timu mkongwe huyo alikaririwa akisema katika kikao cha mazungumzo gillete stadium alhamis mchana anachotakiwa team coach mano maneze ni kutengeneza kikosi chenye ushirikiano "
Pelé says Brazil does not have a cohesive team yet
The Seleção legend said his country's team is made up of
individuals at the moment, and said national team boss Mano Menezes is a
“little insecure.”
kocha huyo ambaye anakibarua kigumu cha kuihakikishia brazil na dunia kuchukua kombe la dunia mano maneze amekiunda kikosi hiko kwa kufuata majina mengi ya masuper star kitu ambacho pele kamsihi na kumshauri kuwa aangalie background ya mwaka 1970 na akiunde kikosi kizuri kama kile ambacho kiliweza kuchukua taji nchini mexico.
na hii ni kauli nyingine ambaye aliizidi kusitiza kuwa tuna wachezaji wazuri duniani lakini bado hatutambuliki "
“Brazil has excellent players, no doubt,”
Pelé said. “Excellent players. The best players all over the world,
you'll find Brazilians. But, as a team, we are not organized yet.”
Na hii hapa ni chat ya kikosi cha brazil chini ya manaja wao mano maneze
Founded | 1914 |
Stadium |
|
Location |
|
Brazil: Squad
Number of Players |
Average Rating |
Average Age |
24 |
90 |
27 |
No comments:
Post a Comment