Sunday, October 14, 2012

RAISI KIKWETE AKIWA ENEO LA TUKIO MBAGALA

1 1 Picha: Rais Kikwete atembelea makanisa yaliyoharibiwa kwenye vurugu Mbagala
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu uliofanyika katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu zilizofanywa na watu wadaodaiwa kuwa Waislamu, kufuatia habari za mtoto kukojolea msaafu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ameenda Mbagala na kutembelea makanisa yaliyoharibiwa na kundi la watu wanaodaiwa kuwa Wailamu, kwenye vurugu zilizosababushwa na habari za mtoto mmoja huko Mbagala Kizuiani kukojolea Msaafu. Zifuatazo ni picha za JK kwenye ziara hiyo akijionea uharibiru uliofanyika.
Picha na IKULU. 
2 Picha: Rais Kikwete atembelea makanisa yaliyoharibiwa kwenye vurugu Mbagala
Mchungaji Alkwin Mbawi akimuonyesha rais Kikwete gari la kanisa la Pentekoste lililovunjwa na kuchomwa moto Mbagala kufuatia vurugu hizo
3 1 Picha: Rais Kikwete atembelea makanisa yaliyoharibiwa kwenye vurugu Mbagala
Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam M Mkosimonga, akimuonyesha rais Kikete uharibifu uliofanywakwenye kanisa hilo
6 Picha: Rais Kikwete atembelea makanisa yaliyoharibiwa kwenye vurugu Mbagala
Uharibifu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
4 1 Picha: Rais Kikwete atembelea makanisa yaliyoharibiwa kwenye vurugu Mbagala
Rais Kikwete akionyeshwa uharibifu katika Kanisa la Anglikana
m9 Picha: Rais Kikwete atembelea makanisa yaliyoharibiwa kwenye vurugu Mbagala

No comments:

Post a Comment