Saturday, October 13, 2012

PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA VURUGU ZA MBAGALA BAADA YA MTOTO KUKOJELEA QURAN

Askari wa kuturiza ghasia wakijitahidi kuwakabili waislam wenye hasira kali walioanzisha furugu maeneo ya Mbagala kufuatia kudhalilishwa kwa dini yao baada ya mtoto wa kidato cha kwanza kukojolea Quran tukufu wakati walipokua ktika mabishano na mwenzake.
Picha na: issamichuzi.blogspot.com

No comments:

Post a Comment