Saturday, October 27, 2012

OBAMA AHOFIA MWANAWE MALIA OBAMA KUWA FACEBOOK

OBAMA AHAOFIA MTOTO WAKE MALIA OBAMA KUWEKO FACEBOOK NA KUENDESHA GARI

Katika kile ambacho kinaonyesha ni mbadiliko ya sayansi na tecklojia yakiingiliwa na mambo ya kisiasa na sera za democratic,ijumaa iliyopita President barack obama alionyesha kuwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wa bint yake huyo wa kwa kwanza Malia obama kwa kitendo chake cha kujiunga ama kuwa na account ya facebook aka social network au mtandao wa kijamii na pia kitendo chake cha ku hang out huku akiendesha gari lake barabarani yeye mwenyewe barabarani.

Alikaririwa akisema maneno hayo akihojiwa na television ya MTV na Mr Interviewer Sway Calloway ,kwamba suala hilo la mwanangu kikweli halihusiani na masuala ya kisiasa yaliyoko sasa hivi, lakini nina hofu kidogo suala la mwanangu kuwa fb,kuendesha gari mwenyewe au ku date na wanaume ingawa naweza kusema kwa sasa amekuwa anaweza kufanya maamuzi yake mwenyewe na kumchagua mtu ambaye yeye anaona anamfaa,huku akionyesha tabasamu kimsisitizo kuwa anaweza kuwa na mvulana ambaye atathamini,kumheshimu na kumtambua thamani yake.Aliongeza kwa kusema swala hilo ni sawa kwa sababu kama mtoto wa Rais ana chombo chake cha usiri na ulinzi (Secret Service protection,"Secret Service protection,") ambacho kinashughulikia mambo yake,aliongeza pia na kusema suala la yeye kuendesha tu ambaye inatakiwa kuhofu ni mzazi na kama unavyojua muda si mrefu wataondoka nyumbani kwangu kama familia na kuanzusha familia zao.

Kipindi hiko cha nusu saa katika wwebsite ya MTV kilikuwa moja kati ya interview kumi ambazo alifanya obama ijumaa iliyopita.

"She can make her own decisions obviously later as she gets older, but right now, even just for security reasons, she doesn't have a Facebook page. Dates, that's fine, 'cause she's got Secret Service protection," he added with a smile. Obama said he hoped his girls would date "boys who respect them and value them and understand their worth.""She can make her own decisions obviously later as she gets older, but right now, even just for security reasons, she doesn't have a Facebook page. Dates, that's fine, 'cause she's got Secret Service protection," he added with a smile. Obama said he hoped his girls would date "boys who respect them and value them and understand their worth.""She can make her own decisions obviously later as she gets older, but right now, even just for security reasons, she doesn't have a Facebook page. Dates, that's fine, 'cause she's got Secret Service protection," he added with a smile. Obama said he hoped his girls would date "boys who respect them and value them and understand their worth."
























In this handout form the White House, (L to R) U.S. President Barack Obama, daughter Malia Obama, first lady Michelle Obama and daughter Sasha Obama sit for portrait in the Green Room of the White House September 1, 2009 in Washington, DC. (Photo by Annie Leibovitz/White House via Getty Images)

No comments:

Post a Comment