Saturday, October 27, 2012

NICOLAS ANELKA "MTU ASIYE NA MAADUI UJUE NI MSALITI"



UKIONA MTU HANA MAADUI UJUE HUYO NI MSALITI "

A man without enemies is a coward"

Maneno hayo yalisemwa na mkongwe huyo mfaransa mwenye umri wa miaka 33 sasa,kutokana na lawama na kukoselewa kwake kwa kitendo chake cha kutupa kapuni chelsea na kukimbilia china club ya shanghai shenhua.

 Nicolas Anelka - Shanghai Shenhua

Nicholas Anelka alifikia hatua ya kutoa kauli hiyo kutokana na utata wa watu wengi kulaumu kitendo chake cha kuhama ligi kubwa za ufaransa,spain na uingereza na kuamua kukimbilia nchini china,alisema wala sijali jinsi watu wanavyoichulia hatua hii ikiwa kama napata kipato kikubwa tu hapa shanghai chenhua na naweza au nmeweza kutimiza malengo yangu ambayo ilikuwa ni ndoto yangu na nina fahari katika fani yangu hii ya mpira na wala sijutii mtu usipokuwa na maadui basi ujue wewe ni msaliti nawazungumzia wale ambao wananizungumzia mimi bila hata kunitambua hadi inafika hatua ya vyombo vya habari kuzungumzia masuala yangu alikaririwa na Le Parisien.

"You worry about your salary and I'll worry about mine. Everyone has their worth. I've worked very hard for a long time to earn that money. My track record is there to remind those who've forgotten. Not all of that money has been spent buying cars and luxury handbags. I have a lot of friends and a big family. I enjoy helping all of them.

Aliendelea kuwadis wanaomshambulia kuwa inatakiwa wahofie vipato vyao na mimi nihofie changu,huku akiongeza kuwa nazungumza kifaransa,kiingereza,kihispain na sasa najifunza kichina naweza kujitambulisha popote duniani

Hakuishia hapo tu aliongeza kwa kusea tangia nipo mdogo nilikuwa napenda sana tamaduni za kichina na ndo maana niliikubali mara moja ofa hii ya shenghai shenhua ingawa suala la kifedha nalo lilinichochea.

Mchezaji huyo katika maisha yake amewahi kuichezea timu ya Paris sain Germain,Asernal,Real madrid,liverpool,Mancity na Chelsea  

 

No comments:

Post a Comment