Friday, September 28, 2012

MANCINI ATAMBA KUCHUKUA KIKOMBE EPL

Muitaliano huyo alikaririwa akisema pamoja na kuwa na mwanzo mbaya lakini tutashinda na kuchukua kikombe cha EPL

 

 

"Mancini: Despite uneven start, Manchester City will win the Premier League title"

 muitaliano huyo alifikia hatua hiyo ya kutamka maneno hayo kutokana na majeraha ya mchezaji sergio auguero na nafasi ya timu yake hiyo ambayo ianashikilia nafasi ya saba nyumba chelsea kwa point nne.Timu hiyo imeshacheza michezo mitano ambapo miwili imeshinda na mitatu kutoka draw inachangamoto kubwa katika kundeleza mapambano ya ushindi wa vikombe vya england ligi ambayo ina ushindani mkubwa zaidi duniani

""It's difficult because we didn't have 14 players in preseason and had new players on the last day of the transfer market and they need time," Mancini said. "Another reason we didn't work well in preseason is because we didn't have all the defenders, but we have all these problems and have conceded only two goals more than last year."

No comments:

Post a Comment