Friday, September 28, 2012

      FA HATIMAE JOHN TERRY AKUTWA NA HATIA YA KUMBAGUA RANGI ANTONIO FERDINAND

Katika hali ambayo inaonyesha mikosi kwa mchezaji captain wa timu ya chelsea na mstaafu wa timu ya taifa ya england kwa mara nyingine tena amekutwa na hatia ya kumbagua mchezaji huyo wa queenpark rangers.

Mbali na mashtaka,kesi ambayo amefunguliwa mcheza huyo katika mahakama ya westmnster magistrate court dhidi ya ubaguzi wa rangi kwa antonio ferdinand,kamati ya  nidhamu ya FA imemuona mchezaji huyo ana hatia na kuamua kumfungia mechi nne asicheze.

Mbali na utetezi wa mawakili wake kuleta utetezi kamati ya nidhamu imeamua kufikia uamuzi wa hukumu hiyo kitendo ambacho john terry alionyeshwa kukatishwa na tamaa na uamuzi huo.

Tukio hilo ambalo lilifanyika tarehe 31 oct 2011 loftus road baada ya terry na ferdinand kurushiana maneno mechi ambayo chelse iliishinda QPL 1-0

hii hapa ni kauli ambayo ilitolewa katika press kutokana na kufikia kwa hatima ya hukumu hiyo

"The Football Assocaition charged Mr. Terry on Friday 27 July 2012 with using abusive and/or insulting words and/or behavior towards Queens Park Rangers' Anton Ferdinand and which included a reference to color and/or race," the FA wrote in an official statement Thursday. "The charge was the result of The FA's long-standing investigation into this matter, which was placed on hold at the request of the Crown Prosecution Service and Mr. Terry's representatives pending the outcome of the criminal trial."

 

 Chelsea captain John Terry has been banned for four games and fined 220,000 pounds by the Football Association after being found guilty of racially abusing QPR defender Anton Ferdinand.

No comments:

Post a Comment