Showing posts with label MAKALA MAALUM by sara zeno. Show all posts
Showing posts with label MAKALA MAALUM by sara zeno. Show all posts

Friday, October 5, 2012

8 Work Habits That Will Kill Your Career


8 Work Habits That Will Kill Your Career

Wondering why you're not advancing in your career more quickly, or why you always seem to be overlooked when it comes time for raises, promotions, or important projects? The answer might be that you're holding yourself back, through one or more of these eight career-killing behaviors.
1. Not promoting your own work. Your work might be fantastic, but if no one knows about it, it won't help your reputation, your salary, or your advancement opportunities. Make sure that your manager knows about your accomplishments, whether it's kudos from a hard-to-please client, waste you uncovered and fixed, or anything else that goes above and beyond your normal work.
2. Getting defensive. If you get defensive when you get less than glowing feedback on your work, you might be striking a death blow to your career. Many people simply give up on having meaningful interactions with defensive people, so your co-workers may avoid you, and your manager may stop telling you how you can improve. "That sounds great," you might respond--but it means that you'll destroy the relationships you need to advance in your career and denying yourself the information that you need to grow professionally.
3. Making rash decisions. Whether it's walking off the job because the boss said something you didn't like or taking a job offer without thinking it through carefully, impulsive decision-making has no place in your career. The decisions you make about work will have far-reaching ramifications on your wallet, your reputation, and your daily quality of life.
4. Not being assertive. You might think that not making waves is the best way to succeed professionally, but being unassertive is more likely to hurt you. If you believe a decision is wrong, or a project is headed for disaster, or that you deserve a raise, good managers will want you to speak up. There's a difference between being assertive and being obnoxiously pushy, of course, but voicing your opinions in a professional way is key to professional success.
5. Being too negative. If you're constantly complaining about new projects, your company's policies, and why it's taking IT so long to fix the network, you're probably creating an unpleasant environment for people around you. The same goes for negative humor--if you're regularly snarking about your boss or the new guy down the hall, chances are good that--even if people are laughing--you'll get a reputation for being bitter and having a bad attitude.
6. Lying. If you get caught in a lie--even if it's small or if it can't be proven--you'll destroy your credibility, and that's something you can never get back. You could be scrupulously honest for the next three years, but you'll still be remembered as the person who lied and can't be completely trusted.
7. Being chronically disorganized. People pay attention to whether you do what you say you're going to do, by when you say you're going to do it--whether it's as small as forwarding the document you promised in a meeting or as big as meeting a project deadline. If you do, they notice and you build a reputation as someone reliable and someone they can have confidence in. If you don't, they conclude that you can't be counted on to keep your word.
8. Not learning new technology. You might feel that you're perfectly comfortable with your existing ways of doing things, thank you very much, and therefore have no need to learn the latest technology ... but if you resist new ways of doing things, you'll soon be left behind by colleagues who aren't so change-resistant. If you find yourself printing out emails to read them or heading to the library to look something up rather than Googling it, you're likely to be overlooked by employers in favor of your more technologically savvy competition.
Alison Green writes the popular Ask a Manager blog, where she dispenses advice on career, job search, and management issues. She's also the co-author of Managing to Change the World: The Nonprofit Manager's Guide to Getting Results, and former chief of staff of a successful nonprofit organization, where she oversaw day-to-day staff management, hiring, firing, and employee development.

Monday, October 1, 2012

DAWA ZA KULEVYA NA VVU/ UKIMWI

                                       UHUSIANO WA DAWA ZA KULEVYA NA VVU/ UKIMWI UKOJE?

Matumizi ya dawa za kulevya yanaongezeka kwa kasi nchini na hivyo huchangia kuleta madhara makubwa katika jamii yetu. Moja ya madhara hayo ni kuenea kwa vvu miongoni mwa watumiaji wa dawa hizo, wenzi wao na hata kusambaa kwenye jamii yote matumizi ya dawa za kulevya  kwa wale waliokwisha ambukizwa vvu huongeza kasi ya kupatwa na ukosefu wa kinga (UKIMWI ) Mwilini hivyo kuambukizwa magonjwa nyemelezi kirahisi zaidi na kufa mapema .
DAWA ZA KULEVYA ZINAWEZAJE KUENEZA VIRUSI VYA UKIMWI?
  Matumizi ya dawa za kulevya huweza kueneza VVU kwa namna mbili tofauti:  
.Kufanya ngono zisizo salama baada ya uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi wa mtumiaji kuathirika na dawa hizo.
.Kushirikiana sindano au mabomba au vifaa vingine vya kujidunga wakati wa kuzitumia dawa hizo.

Wakati vitendo hivi huwaweka watumiaji wa, dawa za kulevya katika hatari ya kupatwa na VVU na hata kuambukiza wengine .Tafiti zinaonesha kuwa ;
        Mwaka 2004, 31.3% ya wanaojidunga kutoka katika jiji la dar es salaam waliambukizwa VVU.

TABIA HATARISHI NI ZIPI?

Mtu yeyote anayetumia dawa za kulevya hasa yule anayejidunga yupo katika hatari ya kuambukizwa VVU
Hata hivyo , Wale ambao huwa katika maeneo yenye utumiaji wa dawa za kulevya  wana hatari zaidi ya kuambukizwa VVU kwa kufanya ngono zisizo/ salama na watumiaji dawa hizo .Aidha , vijana wenye umri
wa kupevuka wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa VVU kwa vile mara nyingi hujiingiza zaidi kwenye tabia nyingi ambazo humweka mtumiaji wa dawa za kulevya katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU zifuatazo ni baadhi tu ya tabia hizo ;
.Kutumia mara kwa mara na kwa muda mrefu dawa za kulevya
.Kushirikiana dawa au sindano au mabomba au vifaa vungine vya kujidunga ,
 .Kusafisha vifaa vya kujidunga walivyoshirikiana bila kufuata taratibu zinazoweza kuua vijidudu
 . kufanya ngono zisizo salama .
 .Kuwa na wapenzi wengi (kubadilisha wapenzi ) kununua penzi kwa dawa au fedha, 
 .Kufanya mapenzi  kinyume cha maumbile.

MAMBO GANI HUCHOCHEA TABIA HATARISHI?

 Uelewa mdogo juu ya tabia zenyewe hatarishi
         Mtazamo potofu kuwa kushirikiana sindano au mabomba ni ishara ya uaminifu na udugu  miongoni mwa wanaojidunga
. misukumo rika
. arosto kali inayotokana na utegemezi
.Kuzoeleka kwa matumizi ya dawa za kulevya  katika jamii zetu
.Ugumu wa maisha

HATUA GANI ZICHUKULIWE KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU?

Kiongozi

. Kuweka sera zisizikandamize ,zisizobagua na zisizowatenga watu wanaotumia dawa za kulevya ili waweze
   kuzifikia huduma za tiba.
.kuelimisha umma  juu ya tatizo la dawa za kulevya na maambukizi ya VVU .
.kuhakikisha programu za kuwasaidia watumiaji wa dawa za kulevya zinaanzishwa na kuendelezwa .

Mwananchi:

Kutowanyanyapaa na kutowabagua watumiaji wa dawa za kulevya na badala yake kuwachukulia kuwa watumiaji ni watu wanaohitaji msaada wa matibabu na kuwaelekeza sehemu watakapozipata huduma za tiba

Mtumiaji wa dawa za kulevya :

Kuacha kutumia dawa za kulevya
.Kuacha kushirikiana sindano au mabomba au vifaa vingine  vinavyotumika kujidunga .
.Kusafisha vyema vifaa vya kujidunga kwa kuchemsha au kutumia dawa za kusafishia

ILI KULINDA AFYA YAKO  ACHA KABISA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA


Thursday, September 27, 2012

                                 UKATILI WA KIJINSIA KATIKA JAMII

   NINI MAANA YA UKATILI WA KIJINSIA 

         Ni kitendo cha ukatili kuhusu jinsia ambacho kinaweza kusababisha madhara / maumivu ama mateso ya kimwili au kisaikolojia kwa mtu ikiwa ni pamoja na vitendo vya kutishia ,kulazimisha kunyima uhuru,bila kujali vimefanyika kisiri ama kwenye kadamnasi".
  NB: ukatili wa kijinsia huhusishwa na ukatili kwa wanawake kwani wao ndio waathirika zaidi wa ukatili.

AINA ZA UKATILI WA KIJINSIA  
 
kuna aina nyingi za ukatili wa kijinsia .


UKATILI WA KUTUMIKA NGUVU

kupigwa makofi ,mateke ,
kuchapwa
kutupia au kupigwa na vitu vya ndani


UKATILIWA KISAIKOLOJIA

kusema mambo yanayomfanya mtu kujisikia mdogo,
kunyanyasa
kusimangwa
kudhalilisha
kuwekwa chini yake,kukuweka mbali na ndugu au marafiki .

UKATILI WA KIUCHUMI

kunyimwa mahitaji muhimu na fedha za kujikimu ,
kunyimwa umiliki wa mali,
kuzuiwa kufanya kazi.


UKATILI WA KIUTAMADUNI NA MILA KANDAMIZI

Ndoa za utotoni .
utakasaji na kurithi wajane ,
Mauaji ya vikongwe.
Ukeketaji


UKATILIWA KINGONO


kubakwa
kulawitiusafirishwaji wa watu wanawake na watoto
kukushika bila ya ridhaa

HALI YA UKATILI WA KIJINSIA TANZANIA

kutokana na taarifa ya demographic health survey 2010 inaonesha tatizo limekuwa , linakuwa na linakithiri katika sehemu zote za tanzania


UKATILIWA KUTUMIA NGUVU

zipo taarifa zinaonesha 61% ya wanawake walioko kanda ya kati hufanyiwa aina hii ya ukatili ,na 22% ya wanawake wa kanda ya kaskazini.


UKATILI WA KINGONO


taarifa zinaonesha kuwa ,mkoa wa mara unaongoza kwa 48.1%  na mikoa mingine ni kama ifuatavyo : kigoma (31.9%),mbeya (30.8%), ruvuma (30.4%) na rukwa (30.2%).


UKATILI WA KIUCHUM

32.56% ya wanawake wanakumbwa na ukatili huu ,kwa kunyimwa haki ya kumiliki ardhi na mali nyingine.


NANI HUFANYA UKATILI WA KIJINSIA?

ukatili wa kijinsia hufanywa na Baba , mama ,mke ,shemeji , baba mkwe, mama mkwe, shangazi, mjomba ,dada ,kaka, nk.
MAPENDEKEZO ILI KUONDOA UKATILI WA KIJINSIA

Tanzania imeridhia mikataba ya kimataifa inayopinga ukatili wa kijinsia .mikataba hii ni kama mkataba wa A frika wa haki za binadamu na haki za watu ,Mkataba wa Nyongeza wa haki za wanawake (2003) ,Mkataba
wa kuondoa .Aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake -CEDAW(1979),na mengineyo.hivyo basi ,ili kuweza kutekeleza mikataba hii na kuwalinda wanawake dhidi ya ukatili ,tanzania inatakiwa
  • .kutunga sheria ambayo itakataza itakataza ukatili wa kijinsia wa aina zote ikiwemo ukatili wa kutumia nguvu ,ngono,saikolojia nk kuunda vituo vya kuhifadhi waathirika wa ukatili .,
  • .Kuunda vituo vya ushauri nasaa wa kifamilia juu ya ukatili na kusaidia waatirika kurudi katika hali yao ya kawaida .
  • Kujenga mazingira ya kupewa msaada wa haraka kwa wahanga kwa kuanzisha ngazi za serikali za mitaa; vijiji mpaka serikali kuu,
  • Kuweka mifumo ya kuwapatia msaada wa sheria kwa wahanga wa ukatili n.k
  • Kutengeneza mazingira ya kuwaelimisha wanajamii wa marika yote madhara na athari za ukatili wa kijinsia hasa kwa wanawake na watoto wa kike
  • Kuanzisha jitihada za kutoa elimu katika ngazi zote na kuelezea umuhimu wa kuhelimisha haki za Binadamu na haki za wanawake kwa misingi ya kuondoa ukatili.